Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 1, 2013

HAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO.


 Bwana Joseph Mwaisango akiwa katika Harakati za kupiga Picha 
 Bwana Mwaisango akiwahi tukio
 Bwana Mwaisango ametoka mbali sana, hapa akiwa amekomaa na Camera yake enzi hizo 
Moja...... Mbili..... Tatu Action!!
****************
TONE MULTIMEDIA GROUP Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kumpongeza Bwana Joseph Mwaisango ambaye ndiye Mwandishi Mkuu wa Blog hii na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited ambao pia ni wamiliki wa Blogs za Mikoa Tanzania, Tone Radio-Tz , This Day Magazine, Stay In Tanzania(Tanzania Tours) na Tone Tube Tz  kwa kutimiza miaka yake kadhaa siku ya Leo.

Tunapenda kumpa Hongera sana kwa kazi nzito ambazo anazifanya ili kuwaletea wadau habari zilizo sahihi na za uhakika zaidi, Pia tunamtakia Maisha Marefu, Afya Njema na aendelee kuchapa kazi zaidi na zaidi bila kusahau kuongeza Ubunifu zaidi.

Mwisho tunapenda kumshukuru kila mmoja wetu ambaye ni mdau mkubwa wa Blog ya Mbeya yetu,  wote tupo pamoja katika kusherekea siku hii ya leo.

Imetolewa na 
Uongozi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...