Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 24, 2014

BONGO DANSI V/S WATANASHATI HAKUNA MBABE


 Wachezaji wa timu zote mbili za Bongo Dansi na watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mtanange wa kirafiki uliopigwa kwenye Viwanja vya Leaders Club leo, jioni. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 0-0.
Kikosi cha kwanza cha Bongo Dansi....
 Beki wa Bongo Dansi Sufianimafoto (kushoto) akipozi na KIungo mkabaji, Hamis Dakota.
 Wazee wa Bongo Dansi wakishow love na wachezaji wao kabla ya mtanange huo.
 Mafoto akipozi na Jose Mara...
Sehemu ya mashabiki wa Bongo Dansi....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...