Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 14, 2014

MASHINDANO NG'OMBE CUP YAENDEREA MAFIA MKOA WA PWANI


LIGI ya ng'ombe cup imeimalizika kwa atua ya kwanza  baada ya kumalizika mchezo wa mpira wa miguu baina ya jah fc na bayani fc ambapo katika matoke bayani ilibuka na ushindi wa magoli 2.0 matokeo hayo yameifanya bayani kutinga 8 bora ambapo imeungana na timu za rhino,utende fc,bayan,mfuluni,killas
,jah fc, pince boys, na potwe fc mashindano hayo yataendelea tena jumatatu taharifa hii kwa niaba ya mwenyekiti wa mashindano  ya ngo'ombe cup mafia kisiwani

mashindano hayo yanafanyika  dawe ndege wilayani kilindoni mafia mkoa wa pwani na kudhaminiwa na dawani wa  halmashauli wilaya Msomi Ally Kuku

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...