Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, November 30, 2014

KIKWETE ARUDI AKITOKEA KWENYE MATIBABU  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili ikulu leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wafanyakazi wa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu akitokea nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wafanyakazi wa ikulu waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili ikulu akitokea nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji.
Mjukuu wa Rais Kikwete Aziza Ridhiwani Kikwete akimpokea kwa shangwe na kadi Babu yake na kisha kupiga naye soga mara baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...