Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, November 2, 2014

DKT. SHEIN ASHEREHESHA SHEREHE ZA KMKM USHINDI MISIMU MIWILI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza Albina Edward (kmkm) katika mbio za miguu Wanawake  (Riadha) za kilomita 10  kutoka Kibweni KMKM na kumalizia Viwanja vya Maisara palipofanyika sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili Nuru Nasibu (Mtoni) katika mbio za miguu Wanawake  (Riadha) za kilomita 10  kutoka Kibweni KMKM na kumalizia Viwanja vya Maisara palipofanyika sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza Fillipo Jacob Mambo (Mafunzo) katika mbio za miguu Wanaume  (Riadha) za kilomita 10  kutoka Kibweni KMKM na kumalizia Viwanja vya Maisara palipofanyika sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi mshindi wa tatu Hadaa Khatib (Makundi maalum) katika mbio za wanawake wenye ulemavu kutumia baiskel  (Riadha) kuanzia michenzani  na kumalizia Viwanja vya Maisara palipofanyika sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza Ali Abdalla (Makundi maalum) katika mbio za wanaume wenye ulemavu mbio za miguu  (Riadha) kilomita tano (5) kuanzia Mtoni Mkapa Road   na kumalizia Viwanja vya Maisara palipofanyika sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ali Abdalla (kulia kwa Rais) Amina Daudi (wapili kushoto) Hada Khatib (wapili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji Omar Kheri na Mkuu wa KMKM Komodore Hassan Mussa   katika viwanja vya Maisara palipofanyika sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Kamanda Fetehi Sadi Kilindo akiwakilisha kundi la makamanda wastaafu walioshinda mchezo wa kuvuta kamba katika  Viwanja vya Maisara palipofanyika sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015.
 aadhi ya Askari wa KMKM walioshiriki katika  sherehe za Kmkm kwa kufanikiwa Ushindi wa Misimu miwili kwa timu zao kushinda michezo mbali mbali kwa  mwaka 2013-2014  2014/2015 katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibarambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...