Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 10, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WANA ISTIQAAMA TANZANIA KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Istiqaama tawi la Pemba Sheikh Mohammed Suleiman alipowasili viwanja vya karimjee Dar es salaam jana Novemba 09, 2014, katika Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania katika ukumbi wa Karimjee Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania  baada ya kumalizika kwa  Hafla ya kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania katika ukumbi wa Karimjee
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania nje ya ukumbi wa karimjee baada ya kumalizika Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania.

3 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...