Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 3, 2014

MDAHALO WA MCHAKATO WA KATIBA MAKONDE YALINDIMA


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Mpya Jaji Joseph Warioba, akitolewa nje baada ya vurugu zilizotokea katika Mdahalo wa "Mchakato wa Katiba Mpya, uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam kwa ajili ya maoni ya Wananchi na Katiba Inayopendekezwa" . Mdahalo huo ulivunjika baada ya vurugu hizo. No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...