Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 24, 2014

SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.


Mratibu wa maadhimisho ya kampeni ya siku 16, za kupinga ukatili wa kijinsia mwaka huu Dk.Judith Odunga kutoka taasisi ya WiLDAF, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho hayo ambayo huanza Nov25 kila mwaka, siku  iliyotengwa kimataifa kupinga ukatili kwa wanawake ambapo ndani ya siku hizo matukio mbalimbali yatafanyika, kulia ni Afisa Mipango kutoka CDF, Fransisca Silayo na Afisa Mipango kutoka taasisi ya WiLDAF  Anna Kuvaya.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...