Isumaili Ahamd almaarufu kwa jina la
Zimbwe akiwa kazini kutoa mafunzo ya mpira wa netiboli kwa wasichana
aliowakusanya kwenye kitongoji cha taifa Wilayani kilwa na kuunda timu
ijulikanayo timu ya netiboli taifa. Kwasasa ndiyo timu pekee ya mchezo
huo wilaya nzima ya kilwa ukiondoa timu za wanafunzi walipo mashuleni.
Zimbwe akifuata mpira juu kwenye kazi
yake hiyo yakujitolea ingawa hana mafunzo ya ukocha amekua kama mdhamini
na mkufunzi wa timu hiyo ambayo imewahi hata kuwakilisha Wilaya hiyo na
kupata zawadi kwa kushinda kwenye micheo yake. Kati ya michezo minane
iliyocheza imeshinda michezo mitano.
No comments:
Post a Comment