Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 2, 2013

BANDA LA NSSF LANG'ARA SABASABA


Wafanyakazi wa Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika picha ya pamoja.

 Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa ufafanuzi wa huduma za NSSF wakati wa Maonesha ya Sabasaba. 
 Issac Peter, akitoa maelezo ya huduma za bima katika banda la NSSF. 
 Picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.
 Picha ya pamoja.
 Mshiriki wa Maonesha ya 37 ya Biashara ya Kimataifa akipata maelezo kutoka kwa Mhasibu Mwandamizi wa NSSF, Madhehebi Tuli (kulia). 
Ofisa Uhusiano Mwandamizi NSSF, Theopista Muheta akiwapa madaftari baada ya kujibu maswali kwa ufasaha yanayohusiana na huduma za NSSF.
Watu wengi walipenda kujua huduma zinazotolewa na NSSF, pichani mmoja wa watu waliotembelea banda la Shirika hilo akipata huduma.
Mmoja wa wanachama wa Saccos zilizopata mkopo kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Shapilly Abdallah (kulia) akimuhudumia mteja katika banda la NSSF.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...