Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 2, 2013

OBAMA AFANYA VITU ADIMU DAR KABLA YA KUPAA LEO


Huyuuuuuuuuuu, ndiye Ibama, Rais wa Marekani, Barack Obama, akipiga danadana za kichwa wakati alipowasili kwenye mitambo ya kuzaliza umeme ya Ubungo jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuizindua ramsi mitambo hiyo ikiwa ni sehemu ya kumalizia ziara yake ya siku mbili kabala ya kuondoka nchini leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...