Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 2, 2013

SHEIKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM, NA SHIA ITHNAASHAR JAMAAT, WATOA MWALIKO WA KUHUDHURIA MIUJIZA YA QUR'AN


Sheikh wa Mkoa wa Dar-es-Salaam Sheikh Alhad Mussa Salum, akishirikiana na Shia Ithnaashar Jamaat, wanapenda kuwaalika wote,  katika kushuhudia Miujiza ya Qur’an ya kijana HAFIZ MOHAMMED TAQI KHAN toka Pakistan, aliehifadhi Qur’an kwa njia 51 tofauti za ajabu na 
za kuvutia, pia ana uwezo wa kuhusisha Aya na maudhui mbalimbali za kisiasa na kijamii, pia ana uwezo wa kuisoma sura kuanzia chini kuja 
juu n.k.
Ni siku ya Jumamosi tar 6 Julai,2013
Viwanja vya Mwembeyanga, Tandika
Saa 9.00 Alasiri mpaka saa 12.00 Jioni
“KARIBUNI SANA”

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...