Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 2, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MKUTANO WA SIKU 3 WA VIONGOZI WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA NJAA BARANI AFRIKA, ADDIS ABABA-ETHIOPIA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammmed Gharib Bilal, akifunga  Mkutano wa siku tatu wa Viongozi wa  Kimataifa  wenye  lengo la  kutokomeza  njaa Barani Afrika .Mkutano huo ulimazika jana jioni mjini Addis Ababa Ethiopia.
 Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye  Mkutano wa Kimataifa   kuzungumzi  juu ya   kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika uliomalizika  mjini Addis Ababa Ethiopia.
 Ujumbe wa Tanzania uliofuatana na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakifuatilia kwa makini mkutano wa Afrika uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika . Mkutano huo ulimalizika  jana  jioni mjini Addis Ababa Ethiopia.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Viongozi wa kimataifa waliohudhuria Mkutano wa  Kimataifa  uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika mjini Addis Ababa  Ethiopia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa  AUC  Dk.  Nkosazana  Dlamina Zuma, kwenye ukumbi wa Mikutano wa umoja huo baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Viongozi wa Kimataifa uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika  mjini Addis Ababa Ethiopia jana jioni. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...