Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 30, 2012

Airtel yaendea kusambaza Mawasiliano Kanda ya ziwa-Mwanza


Naibu waziri ofisi ya makamu wa Raisi Mh charles Kitwanga akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mawasiliano uliojengwa na Airtel nje kidogo ya mkoa wa Mwanza katika wilaya ya Misungwi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya  Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke, wakwanza kulia ni Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando. hafla ya uzinduzi wa mnara huu wa ilifanyika katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi mwishoni mwa wiki.
Pichani kati ni Naibu waziri ofisi ya makamu wa Raisi Mh charles Kitwanga akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kijiji cha Nyamayinza (kulia) na wakati kushoto ni wafanyakazi wa Airtel Tanzania kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukata utepe kuashira uzinduzi mnara wa mawasiliano wa  Airtel nje kidogo ya mkoa wa Mwanza katika wilaya ya Misungwi kurahisisha upatikanaji wa huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya  Nyamayinza, Buhunda, Ishoke na Seke, . hafla ya uzinduzi wa mnara huu wa ilifanyika katika
Kati alievalia shati la bluu ni Naibu waziri ofisi ya makamu wa Raisi Mh charles Kitwanga meneja mauzo kanda ya ziwa Galus Mgawe na meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando wakishangilia na wananchi mara  baada ya kukata utepe kuashira uzinduzi wa mawasiliano wa  Airtel nje kidogo ya mkoa wa Mwanza katika wilaya ya Misungwi kurahisisha upatikanaji wa huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya  Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke, . hafla ya uzinduzi wa mnara huu wa ilifanyika katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Airtel Kanda ya Ziwa Bw Galus Mgawe akiongea na wananchi mbele ya Naibu Waziri ofisi ya makamu wa Raisi Charles Kitwanga wakati wa uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Airtel wilaya ya Misungwi kijiji cha Nyamayinza, mmnara huo wa Airtel kurahisisha upatikanaji wa huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya  Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke.
Mbele ni Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa raisi Mh Charles Kitwanga na Meneja Mauzo wa Airtel wakiwa wamejiunga wananchi wakiserebuka ngoma ya asili kufurahia uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Airtel wilayani Misungwi. mmnara huo wa Airtel kurahisisha upatikanaji wa huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya  Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...