Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 24, 2012

KILWA WAMUAGA MKUU WA WILAYA KWA SHEREHE.


Mbunge wa Kilwa kusini Suleiman Said Bungara (Bwege) akiteta jambo na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Nurdin Babu wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika mjini Kilwa Masoko.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilwa wakiheza Rusha Roho kwenye hafla ya kumuaga Mkuu wa Wilaya Nurdin Babu ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mafia.
Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Said Bungara akicheza Rusha Roho wakati wa hafla ya kumuaga mkuu wa Wilaya huyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...