Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 29, 2012

SHULE YA MSINGI MIVINJENI YAIMIZA WAZAZI KUCHANGIA MAENDELEO YA SHULE HIYO


Mwalimu Mkuu wa Shule , Bi, Mtei akiandika Majina mbalimbali ya wazazi wanaoendelea kutoa michango kwa ajili ya kuboresha mazingia ya shule pamoja na ujenzi wa ukarabati na kuweka kisima kikubwa kwa ajili ya upatikanaji wa maji katika shule ya msingi Mivinjeni iliyopo Msimbazi Cente
Mwalimu Ibrahimu wa Shule ya Msingi Mivinjeni iliyopo Msimbazi Center jijini Dar Es Salaam akitoa maelezo kwa wazazi walioudhulia kikao kwa ajili ya maendeleo ya shule hiyo ambapo kulikuwa na uchjangiaji wa ukarabati wa maeneo mbalimbali na ujenzi wa kisima cha maji ambacho walizindua wazazi hawo katika kikao hicho

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...