Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 27, 2012

JOSE CHAMILION AANDAMANA NA KUWEKA KAMBI NJE YA JENGO LA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA KUSHINIKIZA SHIGONGO AMREJESHEE PASPORT YAKE


Mwanamuziki maarufu nchini Uganda Jose Chameleone, akiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda na mabango sambamba na wapambe wake akishinikiza apatiwe passport yake ambayo anadai inashikiliwa na Bw. Erick Shigongo. Picha mbalimbali kama zinavyoonyesha tukio hilo nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda. Picha zaidi ingia kwenye http://www.facebook.com/josechameleone
Askari wakilinda usalama wakati wa maandamano hayo.
Maandamano ya wana Bodaboda yakimuunga mkono.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...