Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 24, 2012

KIMBUNGA CHA TANESCO CHA KUKAMATA WEZI WA UMEME KASI ILEILE LEO YASHIKILIA WATANO. Kesi 19 zinaendelea mahakamani. Watoa taarifa hujizolea kitita cha Tsh50,000 kwa kila nyumba itakayokutwa inaiba umeme kutokana na kutoa taarifa hizo kila siku. Watakaojisalimisha watakwepa adhabu ya kushitakiwa lakiniwatalipiumeme wote walioiba.Mtuhumiwa wa wizi wa umeme Jeilan Mohamed, akiongozwa na jeshi la polisi kupanda gari baada ya kutuhumiwakuliibia umeme shirika hilo kwa njia ya kuunganisha kabla haujafika kwenye mita (kubaipass) maeneo ya Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Hpa akiondolewa ndani mwake na kwenda kwenye gari.


Fundi Mwandamizi wa Shirika la Umeme Tanzania Tenesco Didas Lwinga, akiwaonyesha waandishi wa habari mita iliyofunguliwa na kubandikwa gundi (Super Glue) mara baada ya kuing’oa.

Mtuhumiwa wa wizi wa umeme Jeilan Mohamed, akiwa chini ya ulinzi wa jeshi lapolisi huku akiangalia mafundi wanavyong’oa mita ya umeme kwenye nyumba yake kwenye zoezi linaloendelea la kukamata wezi. Hapa ilikua kabla hajachukuliwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...