Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 30, 2012

WAKAZI WA NANGOO LINDI WANAHANGAIKA KUSAKA MAJI SAFI.


Wakazi wa Kijiji cha Nangoo Mkoani Lindi wakichota maji kwenye daraja la Nangoo kama walivyokutwa na Mdau leo asubuhi. Wanakijiji hao wamekua wakipata shida ya maji kwa muda mrefu sasa hali inayosababisha kutumia maji taka. Picha na Ahmed Abdullaziz Lindi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...