Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 10, 2014

MKUU WA WILAYA YA KIBONDO AONGOZA MAPOKEZI YA BONDIA IBRAHIMU CLASS .KING CLASS MAWE' BAADA YA KURUDI NA UBINGWA WA WPBF AKITOKEA ZAMBIA


 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' kushoto akiwa na promota wa kimataifa Jay Msangi 'Jiwe Gumu' baada ya kutua nchini wakitokea Zambia walipo nyakuwa ubingwa wa WPBF Africa kwa kumpiga Mwansa Kabinga  wa Zambia katika Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akiwasili nchini kutokea Zambia aliponyakua mkanda huo
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akinyoosha mkanda wake wa ubingwa juu


Mashabiki mbalimbali wakimpongeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kuwasili nchini alipotokea Zambia ambapo alinyakuwa mkanda wa WPBF kushoto ni Jay Msang 'jiwe Ngumu' Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' katikati akiwa na mashabiki waliopanda nae ndege moja na kumpongeza baada ya kuwasili nchini kwa kunyakuwa ubingwa wa WPBF
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe '  akipokelewa kwaniaba ya serekali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni Promota wa kimataifa Jay Msangi 'Jiwe Gumu' picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe '  akipokelewa kwa niaba ya serekali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto  katikati mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Ibrahimu Class king class mawe
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa na mkanda wa ubigwa wa bondia Ibrahimu Class

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...