Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 12, 2014

MASHINDANO YA NGUMI YA MEYA CUP KUANZA IJUMAA CCM KATA 15 TEMEKE

 Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli akifafanua jambo wakati wa upimaji uzito kwa mabondia
 Bondia Amir Shekhe akipima uzito kabla ya kushiliki mashindano ya meya cup yatakayoanza ijumaa katika ukumbi wa ccm kata 15 temeke kulia ni Lemmy Ngabo  picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Bondia Titas kanje wa amana ilala akipima uzito kwa asjili ya kushiriki mashindano ya meya cup yanayoanza kesho katika umkumbi wa ccm kata ya 15 temeke jijini Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
mambondia wakipanga foleni kwa ajili ya kuonana na dokta kabla ya mpambano wa meya cup utakaoanza ijumaa katika ukumbi wa ccm kata ya 15 temeke dar es salaaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...