Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 25, 2014

DIANA FESTO NDIYE NICE & LOVELY MISS TANGA 2014Nice & Lovely Miss Tanga 2014, Diana Festo akiwa katika gari lake baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililofanyika Mkonge Hotel jumamosi June 21' 2014.
Washindi waliofanikiwa kuingia tano bora ya Nice & Lovely Miss Tanga 2014

Mshiriki akiwa katika vazi la ubunifu.


Nice & Lovely Miss Tanga, Diana Festoa ( katikati ) akiwa na mshindi wa pili Noon Juma na Vanesa Charles aliyeibuka mshindi wa tatu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...