Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 25, 2014

SAMSUNG YAKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WAKE.


 
Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung, Ibrahim Kombo(kulia)akimkabidhi, Gaspaer Dismas mwakilishi wa mshindi wa TV ya Samsung, Hajra Mohamed aliyeshinda katika droo ya mwezi Aprili 2014.Makabidhiano ya  zawadi hizo yalifanyika Dar es Salaam.
 
Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung, Ibrahim Kombo(kulia)akimkabidhi, Queen Godwin mwakilishi wa mshindi wa Microwaves ya Samsung, Thom Josen aliyeshinda katika droo ya mwezi Aprili 2014.Makabidhiano ya  zawadi hizo yalifanyika Dar es Salaam.
 
Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung, Ibrahim Kombo(kulia)akimkabidhi mshindi wa Camera ya Samsung, Banzo Hassan aliyeshinda katika droo ya mwezi Aprili 2014.Makabidhiano ya  zawadi hizo yalifanyika Dar es Salaam.
 
Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung, Ibrahim Kombo(kulia) akimkabidhi,Annad Faki mwakilishi wa mshindi wa Tablete ya Samsung, Ibrahim Nassoro aliyeshinda katika droo ya mwezi Aprili 2014.Makabidhiano ya  zawadi hizo yalifanyika Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung, Ibrahim Kombo(kulia)akimkabidhi, Mussa Mchome mwakilishi wa shindi wa TV ya Samsung, Henry Aron aliyeshinda katika droo ya mwezi Aprili 2014.Makabidhiano ya  zawadi hizo yalifanyika Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...