Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 23, 2014

SSRA YAJIDHATITI KUTOA ELIMU KWA UMMA

Mkuu  wa mawasiliano  uhamasishaji  wa  mamlaka  ya usimamizi  na udhibiti  wa sekta  ya Hifadhi ya  jamii (SSRA)
Sarah  Kibonde Msika katikati  akiwa na maofisa wa mamlaka inayosimamia na kuthibiti sekta ya hifadhi ya jamii wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika leo katika viwanja vya mnazi mmoja

Sarah  Kibonde Msika katikati  na mmoja ya maofisa wakimsikiliza mteja aliyetembelea banda lao wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyomalizika leo
 
Mkuu  wa mawasiliano  uhamasishaji  wa  mamlaka  ya usimamizi  na udhibiti  wa sekta  ya Hifadhi ya  jamii (SSRA)
Sarah  Kibonde Msika katikati  akiwa na maofisa wa mamlaka inayosimamia na kuthibiti sekta ya hifadhi ya jamii wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika leo katika viwanja vya mnazi mmoja

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...