Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 22, 2014

MAKAMU WA RAIS WA CHINA ATUA DAR KWA NDEGE NDOGO YA KUKODI


 Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimlaki Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam kwa ajli ya ziara ya siku sita nchini.Yuanchao amewasili jioni hii kwa ndege ndogo ya kukodi  akitokea Arusha ambako jana alitua Uwanja wa Ndege wa KIA.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Uanchao akikagua gwaride huku akisindikizwa na Makamu wa Rais Dk. Bilal
 Bendera za Taifda za Tanzania na China zikipepea Uwanja wa Ndege
 Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke (Sofia Mjema (kushoto) pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangala wakisubili kumlaki Makamu wa Rais wa China usiku wa leo Uwanja wa Ndege.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Dk. Bilal akiwa na mgeni wake  Yuanchao wa China
 Yuanchao akisalimiana na baadhi ya viongozi waliofika kumlaki


 Yuanchao akiwapungia mkono wasanii wa ngoma za utamaduni waliotumbuiza katika hafla ya mapokezi
Kikundi cha sanaa ikiktumbuiza wakati wa mapokezi ya Yuanchao. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...