Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 23, 2014

PICHA NA TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA:KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU GEREZA KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO  Viatu aina ya Buti ambavyo hutumiwa na Maafisa na Askari wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama hapa Nchini vinavyotengenezwa na Kiwanda cha Viatu, Gereza Kuu Karanga Moshi. Kiwanda hicho pia hutengeneza viatu vya ngozi vya aina mbalimbali ambavyo hutumiwa pia hata na raia.
  Kamishna wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Tuhaferi(suti nyeusi) akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Magereza Mkoani Kilimanjaro alipotembelea Kiwanda cha Viatu, Gereza Kuu Karanga Moshi, Juni 21, 2014 Mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...