Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 10, 2014

TIMU YA VIJANA WA ZANZIBAR UK (UNDER 18) YATINGA FAINALI YA AFRICAN NATIONS CUP UK, KUKIPIGA JUMAMOSI HII JUNI 14


Vijana wetu wa Timu ya Zanzibar Wanaoshiriki Africa Nations Cup -UK wenye chini ya Umri wa miaka 18 wameingia Final Baada ya kuifunga Morocco 8-0 Jumamosi jioni. Final itakuwa Saturday, 14th. June, 2014 @3.00pm. Barking FC Arena, Mayesbrook Park, Lodge Avenue, RM8 2JR - UK. Ticket zinauzwa £5 Adult na £2 kwa watoto kwa maelezo Wasiliana na DJ Ommy kwa number +44 7427 447902 na Jestina George +44 7557 304940
WATANZANIA MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUWASUPPORT

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...