Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 16, 2014

HIZI HAPA PICHA ZA NDOVU PARTY.


Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli  na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam jana.
Kundi la wasanii wa THT wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko TBL,Kushila  na Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah wakizungumza na wadau.
Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah na Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt wakiteta jambo.
Wadau wa Bia ya Ndovu Special Malt wakigonganisha glasi wakati wa hafla hiyo.
Mwanamuziki, Halima Mdee akitumbuiza wakati wa hafla ya kujipongoza kwa wadau wa bia ya Ndovu Special Malt mara baada ya bia hiyo kushinda tuzo ya Ubora wa Kimataifakutoka katika Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection iliyofanyika katika Hotel ya Hayati Kilimanjaro Dar es Salaam.
Msanii wa nyimbo za kizaji kipya , Halima Mdee akitumbuiza wakati wa hafla ya kujipongoza kwa wadau wa bia ya Ndovu Special Malt mara baada ya bia hiyo kushinda tuzo ya Ubora wa Kimataifakutoka katika Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection iliyofanyika katika Hotel ya Hayati Kilimanjaro Dar es Salaam.
Wadau wakiwa katika hafla hiyo.
Wadau wa meza hii.
Sisters wakiwa katika hafla hiyo.
Wadau wakiwa katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...