Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 25, 2014

MAMBO YA BUNGENI LEO


  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka jimbo la Mkuranga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 24, 2014. Madiwani hao walikwenda  Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Adam Malima ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na  Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, Bungeni mjini Dodoma  Juni  25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mbunge wa Mtwara Mjini  Hasnan Murji,bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...