Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 10, 2014

NAPE AWAPOTEZA WAPINZANI CHUO KIKUU CHA SAUT MWANZA


Zaidi ya Watu 420 wajiunga na CCM
  • Wanachuo SAUT waahidi kudumisha Umoja wao na Ushirikiano
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wanachama wa Tawi la CCM SAUT Kambarage na wananchi wa Nyamalango ,wilaya ya Nyamagana Mwanza ambapo aliwaambia kuwa CCM itaendelea kuongoza kwani ndio chama pekee chenye sera inayoeleweka kwa wananchi,mipango na ahadi zake zinatekelezwa kila kona ya nchi.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea kadi ya CHADEMA kutoka kwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustine Ndugu Simon Philbert Macheyeki ambaye amejiunga rasmi na CCM,katika mkutano huo zaidi ya wanafunzi 86 wa chuo hiko wamejiunga na CCM na wanachama wapya 420 wamejiunga na CCM.
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimkabidhi kadi ya CCM  Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine Ndugu Simon Philbert Macheyeki ambaye amejiunga rasmi na CCM,katika mkutano huo zaidi ya wanafunzi 86 wa chuo hiko wamejiunga na CCM na wanachama wapya 420 wamejiunga na CCM.
 Kadi za wanachama wapya waliojiunga na CCM kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...