Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 25, 2014

MAMBO MURWA YA TBL FAMILY DAY DAR


 Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL,  kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
 Wakishindana  katika mchezo wa kuvutana kamba
 Watoto wa familia ya TBL, WAKICHEZA KWENYE BWAWA.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL,  katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 
 Watoto wakifurahia kuchezea vibaiskeli

 Wakigongeana glasi zenye vinywaji kwa lengo la kutakiana heri
 Vipimo kwa ajili ya afya havikukosekana
 Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Dar Creator wakitumbuiza wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam
 Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Dar Creator wakitumbuiza wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...