Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 8, 2014

MKUU WA MKOA MBEYA ABBAS KANDORO AZINDUA HOTEL YA KISASA JIJINI MBEYA


PAZD HOTEL MBEYA

Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akikata utepe kuzindua hotel ya Padz Hotel jijini Mbeya kushoto ni mkurugenzi wa Padz Hotel Patric D. ZambiBaadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi wa hoteli hiyoMkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akiweka saini kitabu cha wageni kulia ni mkurugenzi wa hoteli hiyo Patric D. Zambi


PAZD HOTEL MBEYA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...