Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 22, 2014

BONDIA KING CLASS MAWE AONESHA MKANDA WAKE KWA VIONGOZI WA NGUMI WA TPBC PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI KWENYE MKUTANO


Mdau wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari 'Champion' kulia akimpongeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' ambaye ni bingwa wa Afrika anayetambuliwa na chama cha WPBF ambao aliupata ubingwa huo nchini Zambia hivi karibuni  katikati ni Bondia Kassimu Gamboo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mwenyekiti wa mda wa chama cha ngumi za kulipwa nchini TPBC Chaurembo Palasa akizungumza wakati wa kufungua mkutano kwa wadau wa mchezo wa ngumi uliofanyika jumapili katika ukumbi wa DDC Keko wengine kushoto ni Chuku Duso,Habibu Kinyogoli,Hamisi Kimanga na Buchato Michael picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comMdau wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari 'Champion' kushoto akimpongeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' ambaye ni bingwa wa Afrika anayetambuliwa na chama cha WPBF ambao aliupata ubingwa huo nchini Zambia hivi karibuni  kulia ni Mwenyekiti wa TPBC Chaurembo Palasa  picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mjumbe Habibu Kinyogoli akizungumza wakati wa mkutano huo
wajumbe mblalimbali wakifatilia mkutano huo leo kutoka kushoto ni Aga Peter,Maneno Osward na Ernest Bujiku
Rais wa PST Emanuel Mlundwa akichangia moja ya mada za mkutano huo
 Mjumbe Ally Bakari akichangia wakati wa mkutano huo
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ' Super D' aliyekaa kulia akiwa na mabondia mbalimbali wakati wa mkutano mkuu wa TPBC
VIONGOZI WAKIPITIA MAKABRASHA MBALIMBALI
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katikati akiwa na ubingwa wake wa chama cha WPBF Africa alioupata hivi karibuni nchini Zambia wengine kushoto ni Habibu Kinyogoli,Hamisi Kimanga,Chaurembo Palasa na Michael Buchato picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...