Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 2, 2013

FILAMU YA SELO YAMBEBA CLOUD

Na Mwandishi Wetu

MSANII wa filamu hapa nchini Issa Mussa Cloud 112 ameingiza sokoni filamu yaku mpya ya Sello ambayo ni mwendelezo wa filamu zake kali kama vile penzi la giza na fungate ambazo amecheza kwa ubora wa ali ya juu akizungumza na safu hii

Cloud amesema mimi nadhani ni namba moja kwa ubora hapa nchini unajua filamu zangu zinaelimisha zina burudisha na zinafundisha jamii kitu gani kinacho enderea katika maisha haya

unajua mimi nimechukua tuzo ya filamu bora ya mwaka 2012 ambazo zimeandaliwa kwa mara ya kwanza na Steps Entatainment hivyo mimi nipo juu bado na ninaitaji kuwa juu zaidi kupitia filamu zaidi na zaidi 

Unajua filamu sio kitu cha mchezo ata hivyo mimi nafanya kazi vizuri zaidi ya yote na ninapita kila idara ikiwemo filamu za kuhamasisha watu wapate kumkumbuka mora wao kila wakati na ikumbukwe kuwa Dunia tuna pita

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...