Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 9, 2013

MSANII WA FILAMU AFARIKI DUNIA.


MSIBA...MUIGIZAJI WA FILAMU ZUHURA MAFTAH(MALISA) AFARIKI DUNIA....R.I.P MALISA.

HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwigizaji wa bongo movies, Zuhura Maftah  ama  Malisa (Pichani) amefariki dunia.

Bado hatujaweza kupata taarifa kamili za chanzo cha  kifo chake ila tunafanya juhudi kuweza kuzipata na tutawal
etea hivi punde zitakapokuwa tayari.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...