Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 1, 2013

SUPER D ALIVYO MPOKEA Francois Botha 'White Buffalo' NA KUFANIKISHA MPAMBANI MKUBWA NCHINI TANZANIA


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto  akiwa na Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' wakati wa mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia  akiwa na Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' wa pili kushoto


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia  akiwa na Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' wakati wa mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi


Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege baada ya kutua  picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams wa marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka uliofanyika August 30 siku ya ijumaa hii  katika ukumbi wa Diamon Jubilee jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila'Super D; kushoto akiwa amepozi na Shabani Mhamila 'Star Boy na Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo'

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila'Super D; kushoto akiwa amepozi na Shabani Mhamila 'Star Boy na Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo'

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...