Mhudumu
wa Wakala wa huduma ya Tigo Pesa wa mkoani Dodoma, ambaye hakuweza
kufahamika jina lake, akimjibu hovyo mteja wake aliyefika mezani kwake
kupatiwa huduma ya Tigo pesa hivi karibuni mjini Dodoma na kutokea
kutoelewana baina yao kutokana na mabadiliko ya huduma hiyo.
*******************************
HUDUMA
za kuweka na kutuma pesa kwa ndugu jamaa na marafiki, kupitia huduma za
simu za mkononi, Tigo Pesa, M-pesa na nyinginezo, kwa kiasi flani
zilikuwa tayari zimerahisishwa na mitandao hiyo, zilizojisajili kwa
ajili ya kurahisisha kutoa huduma hiyo, ambayo kwa hakika
imekwishajipatia umaarufu mkubwa tu na hasa pale mteja anapokwepa hadha
ya kusimama katika foleni kubwa ya kusubiri huduma katika mabenki.
Lakini
kwa sasa huduma hiyo iliyokuwa ikikimbiliwa na watu wengi kwa hivi sasa
imegeuka kuwa karaa kubwa kwa wateja wake na hasa pale ilipoanzisha
utaratibu ambao dhahiri ni ule unaofanana na wa kibenki ambao watu wengi
walikuwa wakiukimbia na kuamua kurahisha kazi.
Baadhi
ya huduma hizo zimekuwa zikimtaka mteja ili kujisajili lazima awe na
picha kadhaa, barua ya Serikali ya Mtaa na Kitambulisho cha kupigia kura
ama cha kazi huku pia kukiwa na mrorongo mrefu wa mambo yanayohitajika
ili kukamilisha zoezi hilo.
Mbali
na usumbufu huo, pia hivia sasa mitandao hiyo imeanzasha utaratibu
'eti' anayetaka kumtumia pesa hawezi kufika na kupata huduma hiyo katika
ofisi ama meza ya Wakala wa huduma hiyo, hadi kwanza aweke katika simu
yake na atume mwenyewe.
Inamaana
Wakala hawa wamewekwa kwa ajili ya kuwawekea fedha wateja katika simu
zao tu na si kwa kutoa huduma ya kutuma pesa, na hii inaonekana imewekwa
ili mteja aweze kukatwa alimia kadhaa na si wakala anayetoa huduma hiyo
kukatwa, sasa nini maana ya huduma hizi?
Ifikie
mahali sasa Mawakala na watoaji wa huduma hizi walipie kodi
inayolingana na ile ya kibenki kwani kila mteja anayetumia huduma hiyo
hukatwa fedha kulingana na pesa anayotuma je, ni watanzania wangapi
hutumia huduma hizi kwa siku? na Makampuni haya huingia kiasi gani kwa
siku kupitia mawakala wao wanaotoa huduma hizi?
Kwa kweli hivi sasa huduma hizi zimegeuka kuwa usumbufu badala ya kuwa rahisi.
Mtandao
huu wa sufianimafoto, umelazimika kuandika makala hii fupi baada ya
kukutana na tukio hili la usumbufu na kushuhudia jamaa mmoja akilalamika
wakati akipandishiwa kwa lugha isiyofaa na mtoa huduma hii (Pichani
katikati juu). Ambapo mteja alifika meza hii kwa lengo la kumtumia
nduguye pesa kiasi cha Sh. 300,000/= ambaye alikuwa njiani akisafirishwa
kutokana na ugonjwa.
Jamaa
huyu bila kujua kuwa huduma hizo zimebadilishwa mfumo mzima wa kutuma
pesa, alifika na kumtaka mtoa huduma huyo, kumtumia pesa hizo kwa namba
ambayo alimpatia na akafanya kama alivyotakiwa, lakini baada ya mtoa
huduma huyo kumaliza kazi yake hiyo, alijaribu kuibipu namba aliyoitumia
na kusikia ikiita kwingine na si mahala hapo, kwani alitarajia ingeita
mfukoni kwa jamaa huyo aliyempa pesa hizo kutuma.
Baada
ya kusikia ikiita mahala pengine, mdada huyo alianza kuwaka na
kumkaripia mteja wake huyo, ''We unajifanya mjanja, hata me ni mjanja
zaidi yako, unataka mie ndo nikatwe hiyo kamisheni hapa umeingia choo
cha kike, naenda kuiblock hiyo namba na huwezi kuto pesa hiyo wala
kuipata leo'' alisema mdada huyo
Mteja
huyo alipojaribu kuhoji kutolewa maneno makali kama hayo bila
kufahamishwa kinachoendelea, ndiyo mtoa huduma kama hiyo wa mtandao
mwingine aliyekuwa pembeni ya mdada huyo mkali, alianza kumfafanulia
mteja huyo asiye wake, juu ya mabadiliko ya huduma hiyo na nini
kinatokea baada ya kufanya kama ilivyokwishafanywa, ambapo mteja
alielewa na kumshangaa mtoa hudua ambaye hakutaka kumfahamisha kutokana
na yeye hakuwa akijua kuwa siku hizi Wakala, hatumi pesa kwa mteja bali
anaweka pesa kwa mteja tena aliyefika mahala hapo akiwa na simu yake.
Alipouliza
kuhusu kurejeshewa fedha zake baada ya kuziblock, mdada huyo aliwaka
tena, ''mi siwezi kutoa pesa zangu nikakupa wewe labda usubiri mpaka
kesha zikisharudishwa ndo uje uchukue kwa sababu ulitaka kunifanyia
uhuni,'', alisema mdada huyo.
''Sasa
kama hizo pesa zitarudishwa kwako na mie sitakuwepo ni msafiri wewe si
unirudishie pesa zangu kisha wewe utachukua hizo kwani tayari
umeshaziblock mie siwezi kuzitoa wala kuzipata?'' alihoji mteja
''Aah,
hiyo kazi sifanyi wewe hata kama unasafiri nenda kesho urudi
kuchukua'', mdada huyo aliendelea na msimamo wake hadi alipoingilia kati
tena mtoa huduma kama hiyo wa pembeni yake, alipomwelekeza mwenzake
kuwa, mteja aache namba yake ili zitakaporudi amtumie katika simu yake,
ndipo ukafikiwa muafaka mteja akiondoka mahala hapo bila kupata huduma
huku mgonjwa wake akiendelea kuteseka hadi kesho yake mzigo
utakaporejeshwa kwake ili amtumie tena. Sasa hii raha au karaha???? ZAIDI TEMBELEAhttp://sufianimafoto.blogspot.com/
These are really fantastic ideas in concerning blogging.
ReplyDeleteYou have touched some fastidious points here.
Any way keep up wrinting.
Also visit my web page ... best diet plans for women
Hi, i think that i saw you visited my website so i came to “return the
ReplyDeletefavor”.I'm attempting to find things to enhance my website!I suppose its ok to use some of your ideas!!
My web page - bmi chart women
Hiring a car to visit any of Slovenia's wealth of out-of-town attractions, hiring a vehicle from National rent-a-car at Westchester County airport and dropped it off at their selected location. Essential information and reviews on Paphos Car Hire holidays include last minute, pulling up in some little economy vehicle that you would feel comfortable wandering in choosing the vehicle appropriate we can do?
ReplyDeletemy homepage - paphos-car-hire.com
American officials have in the American and European market the demand of Farmacia On Line is a trusted site.
ReplyDeleteWhen you've got the buttons -- for some, fewer people are turning to Farmacia On Line in increasing time of ejaculation'.
Here is my website ... linked here
I merely want to mention I am novice to blogging and actually loved this world
ReplyDeletewide web-site. Quite probable I'm probably to bookmark
your blog site . You basically appear with valuable stories.
Many thanks for revealing your website page.
Also visit my weblog - good psychic
I know this site offers quality based articles or reviews and other material, is there any other web page which provides these kinds of information in quality?
ReplyDeleteMy page ... Louis Vuitton Video (mpinfo.co.in)
Ouг advanced Cataraϲt, Retina Clinic and Glaucoma Clinic are equipƿed with the mоst sophisticated diaɡnostic & surgical technology.
ReplyDeleteHe has to look ɑt the laser as he puts it in the patiеnt's eye and this can cause headaches and temporary νision problems in the surgeon as well.
Once such enemies were within hiѕ grasp, however, he would always
offer them a fair pгice for theіr assets.
Check out my web-site; restore my vision pdf