Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akikabidhi msaada wa baiskeli kwa mkazi wa jijini Dar es Salaam, William Ndahani iliyonunuliwa
kutokana na sehemu ya mapato ya Tamasha la Pasaka lililofanyika mwaka
huu. Msama alitoa baiskeli zingine mbili kwa watu wenye ulemavu katika
hafla iliyofanyika, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
No comments:
Post a Comment