Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda
wakati wa kikao maalum kilichojadili masuala ya Maziwa Makuu
kilichofanyika jana jijini Addis Ababa Ethiopia. Rais Jakaya Kikwete,
leo amerejea nchini baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Malaw,
Khumbo Kachali, jijini Addis Ababa Ethiopia wakati wa mkutano wa 19 wa
Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Raymond Chambers, mjumbe
maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika vita dhidi ya Malaria
wakati wa kikao maalum cha African Leaders Malaria Alliance (ALMA)
kilichofanyika jijini Addis Ababa jana.
No comments:
Post a Comment