Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Mkuu wa Mkoa wa
Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa,
Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema. Kushoto ni
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na wa tatu toka kushoto ni
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa
Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu
wa nchi za Afrika
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal baada ya kuwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis
Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika
mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika
No comments:
Post a Comment