Mchezaji wa
Pool wa Klabu ya Jambo Lee ya Kinondoni,
Judith Machafuko akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya
Mkoa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mchezaji
wa Pool wa Klabu ya Jaba, Abdalah Ngowi(Kulia) na Haji
Hussein wa Mkwajuni wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Pool
Taifa ngazi ya Mkoa yanayoendelea katika Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni Dar es Salaam
Mchezaji
wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Said Mohamed
akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam
Mchezaji
wa Pool wa Klabu ya Shoko ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Modester David
akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam
Mchezaji
wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Haji Hussein
akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam
Wachezaji
wa Klabu ya Meeda wakimlalamikia mwamuzi, Leodger Masawe wakati wa mashindano
ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa
kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment