akati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanjha wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure
Msanii Machachari wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum akionyesha umahiri wake wa kucheza wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Nyomi ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza katika Taamasha la Wajanja wa Vodacom.
No comments:
Post a Comment