Baadhi ya waandishi wa habari wakifatiria kwa makini hafla ya makabidhiano hayo leo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa |
WAANDISHI WAKIWA KAZINI LEO WAKATI WA KUKABIDHI HUNDI HIYO
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa
mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja
Mkuu wa tiGo na Edward Shilla wakishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa
madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule
zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde
(152) na Mbela (37).
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto)
akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa
mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja
Mkuu wa tiGo akishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa
madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule
zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde
(152) na Mbela (37).Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja Mkuu wa tiGo akishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde (152) na Mbela (37).
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa
No comments:
Post a Comment