Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, December 20, 2013

BONDIA LULU KAYAKE AJIFUA KUMKABILI Mariam Abdallah DESEMBA 25Bondia Lulu Kayage kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika

ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Lulu Kayage kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika

ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comBondia Lulu Kayage kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika

ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comBondia Lulu Kayage kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika

ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Hamisi Belege  kushoto aki oneshana umwamba wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Kayage anajiandaa na mpambano wake na Mariam Abdallah utakaofanyika Desemba 25 katika

ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani  anaewasimamia kulia ni kocha Sakwe Mtlya Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

NA MWANDISHI WETU
BONDIA Lulu Kayage yupo katika maandalizi ya mwisho mwisho kwa ajili ya mpambano wake na Fatuma Omari utakaofanyika Desemba 25 katika

ukumbi wa friends corner hotel wakisindikiza mpambano wa Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani 


akizungumzia mpambano huo Kayage amesema kuwa mimi nafanya mazoezi mwaka mzima niwe na mechi niwe sina mechi hivyo nipo fiti wakati wowote kucheza mpambano huo kwani mimi kwa sasa ndie nataraji kuwa bingwa kwa upande wa wanawake

hivyo wanawake wanaoweza kuhimili vishindo vya mchezo wa masumbwi wajitokeze ili kuleta changamoto ya mchezo huo unaopenwa na watu wengi duniani wakiwemo wanawake

unajua mimi naiga staili ya Leila Ali ambaye alikuwa bingwa wa mchezo wa masumbwi duniani na mpaka sasa amestaafu bado ana heshimika hivyo nataka nifate nyayo zake hivyo naomba mashabiki wengi wajitokeze waje kutuunga mkono na kututia moyo wa kuendelea kuupenda mchezo wa masumbwi

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Floyd Mayweathar,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili y
You might also like:

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...