Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, December 17, 2013

JAMAA WA BODABODA AGONGWA NA KIBERENGEAKIVUKA BARABARA


Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge.
 MTU mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye pikipiki yake leo mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu
Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.
Kiberenge kikiwa kimeacha njia baada ya ajali.

Askari polisi akichukua maelezo kwa baadhi ya watu walioshuhudia ajali hiyo.
Wananchi wakiishangaa pikipiki katika eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...