Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, December 25, 2013

UZINDUZI WA MFUKO WA UWEZESHAJI MJINI ZANZIBAR JUZI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na Wazuri wa Kazi,uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Mwenyekiti wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi haroun Ali Suleiman,juzi wakati wa Uzinduzi wa Mfuko huo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheti Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Chiku Matesa,kutokana na mchango wa Shirika hilo wa Tshs millioni Mia Moja,wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheti Naila Jidawi,akiwa Mjumbe wa kamati ya  Mfuko wa  Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa mfuko huokatika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...