Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, December 20, 2013

DKT. FENELLA AFUNGA SEMINA YA JUMUIYA YA WAZAZI WA CCM MJINI MOROGORO


MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe,  Benjamin Joseph, alipotoa vyeti kwa wahitimu wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata zote za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, mwishoni mwa semina hiyo, leo Desemba 19, 2013, katika ukumbi wa Hioteli ya Road View, nje kidogo ya mji wa Morogoro. Wengine kutoka wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Kinondoni Salum Madenge na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi wilaya hiyo, Charles Mgonja. Jumla ya wahitimu 31 walitunukiwa vyeti baada ya kuhitimu semina hiyo. Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...