Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 28, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Audhuria ibada Kijijini Kwake Kibaoni wilayani Mlele, Katavi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee baada ya ibada ya  Krismasi iliyofanyika kijijini kwake, Kibaoni wilayani  Mlele, Katavi, Desemba 25, 2013.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na watoto  baada ya ibada ya Krismasi iliyofanyika  kijijini kwa Waziri Mkuu, Kibaoni wilayani Mlele, Katavi Desemba 25,2013.Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...