Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, December 29, 2013

CLOUDS MEDIA GROUP YAVURUGWA 3-1 NA TIMU YA MAKIPA WANAOCHEZA LIGI KUU Mbwiga Mbwiguke (kushoto), akichuana na Hussein Sharif.
 Mbwiga Mbwiguke (kushoto), akichuana na Hussein Sharif.

 Wachezaji wa timu ya Clouds Media Group wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa mtanange wa kufunga mwaka dhidi ya timu ya magorikipa wanaocheza Ligi Kuu ya soka tanzania Bara.
 
 Wachezaji wa timu ya Makipa wanaocheza Ligi Kuu wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Makurumla jijini Dar es Salaam.
 Mchezajki swa timu ya Makipa, Ivo Mapunda akisalimiana na Shaffih Dauda.
 Kikosi cha Clouds Media Group
 Timu ya Makipa wa Ligi Kuu wakiwa katika picha ya pamoja.

 Mchezaji wa timu ya Makipa Shaban Kado akimiliki mpira huku Bakari Masuli (kulia) akijaribu kumzuia.
Said Saleh 'Mbwiga Mbwiguke' (katikati) akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Ivo Mapunda. 
"Huchukui mpira hapa,mwenzio nilianzia huku kabla ya kuwa nyanda"Ivo Mapunda huo akifanya yake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...