Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, December 10, 2013

HASSANI KIWALE 'MORO BEST' AMSAMBALATISHA SHAFII RAMAHANI KWA POINTI


Bondia Hassani Kiwale 'Moro Best' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Shafii Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika Manzese Dar es salaam juzi Kiwale alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Azizi Abdalla kushoto akioneshana umwama wa kutupiana makonde na Kessy Young wakati wa mpambano wao uliofanyika juzi katika ukumbi wa name manzese midizini Dar es salaam Young alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...